ESRF BLOG

safari reli ya kati
hatimaye safari za treni toka dar kwenda mwanza na kigoma zimeanza rasmi leo jioni toka stesheni ya dar baada ya kusitishwa kwa takriban mwaka mmoja. ratiba inaonesha kwa kuanzia safari hizo zitafanyika mara mbili kwa wiki badala ya tano za awali ambapo jumapili na jumanne itakuwa safari ya dar/mwanza/kigoma na jumanne na alhamisi ni mwanza/kigoma/dar. bofya hapa kumjua mwekezaji mpya wa shirika la reli
http//www.tzonline.org
Comments (5) | Full details
mkutano mkuu wa sullivan
jk akipokea mwenge toka kwa aliyekuwa rais wa nigeria mh. olesegun obasanjo wakati wa tamati ya mkutano mkuu wa saba wa sullivan huko abuja, ikiwa kama ishara ya kupewa jukumu la kuandaa mkutano wa nane ambao maandalizi yamepamba moto ili ufanyike arusha mwezi juni mwakani. habari zaidi na picha juu ya mkutano huo ambao hushirikisha mamia ya wawekezaji na viongozi wa afrika na marekani nenda http://www.thesullivansummit.go.tz/
http://www.thesullivansummit.go.tz
Comments (1) | Full details
Privacy Policy | About Us |Contact Us | Feedback| Staff Email
© ESRF. All Rights Reserved.